Comrades;
Tafadhali kama kuna watu wa Vodacom/au anayefahamu formula ya kujitoa katika huduma za miito ya simu naomba anisaidie tafadhali.
Sijui niliingiaje huko lakini siitaji huduma hii,mana nakatwa fedha kwa mtindo ambao haueleweki
Reuben
Daily East African News Updates
0 Comments