[wanabidii] Mkutano wa CCM SINGIDA

Sunday, May 25, 2014
Jamani, wengine tupo mbali hebu anayefuatilia mkutano wa CCM atujuze maana kuna mtu kaniambia mkutano umechangamka ile mbaya. Ila hajaniambia kinachoongelewa zaidi ya kusema umechangamka, bahati mbaya simu ikakata.

Share this :

Related Posts

0 Comments