[wanabidii] Mafunzo ya namna ya namna ya kufanya biashara kwenye internet kwa email bila malipo

Friday, April 10, 2015
Mafunzo ya namna ya namna ya kufanya biashara kwenye internet kwa email bila malipo
Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa mafunzo ya namna ya kufanya biashara kwenye internet kwa email bila malipo yoyote, Katika mafunzo hayo utafundishwa mambo yafuatayo;
1. Vitu vinavyohitajika ili uweze kufanya biashara kwenye Internet.
2. Bidhaa au huduma ambazo unaweza kuuza kwenye internet.
3.Jinsi ya kutengeneza na kuendesha Tovuti yako
4.Namna ya kutangaza biashara kwenye Facebook.
5.Namna ya kutangaza biashara kwenye mitandao mingine ya jamii.
6. Namna ya kutengeneza na kuendesha blogu yako.
Kujiunga na mafunzo haya bofya hapa; http://tinyurl.com/emarketingtz Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701


CHARLES NAZI
MKURUGENZI

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments