[wanabidii] MCHAKATO WA KATIBA UNAHITAJI BUSARA ZA HALI YA JUU

Monday, March 17, 2014
Katiba ni mchakato wa maridhiano na maelewano. Katiba haitapatikana kwa wengi kuwaburuza wachache au wenye mamlaka kuvunja kanuni kwa wazi kabisa, halafu wakishazivunja wanatumia ubabe kuzuia hoja za wanaotaka kanuni zilindwe.

Tumetunga kanuni za Bunge Maalum zituongoze, hatutakubali kwa namna yoyote ile zipindishwe kwa maslahi ya mtu au kikundi cha watu.

Tutasimama imara kuhakikisha kanuni zinafuatwa ili kutengeneza katiba bora.

KILICHOTOKEA LEO; 
Mwenyekiti wa bunge maalum amevunja kanuni halafu anazuia wajumbe wasiombe ufafanuzi.

Ikiwa atadhani UBABE ndiyo msingi wa kuendesha bunge hili hatutakubali, lazima sote tuheshimiane na tulinde sheria na kanuni katika mchakato huu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments