[wanabidii] Adam Haidary Serenge's CV

Saturday, August 31, 2013 Add Comment
[wanabidii] Adam Haidary Serenge's CV

Refer to attached CV, I am a Tanzanian 24 aged, youth able and possessing skills to work in any environment as I assigned to produce output on arranged deadline.I think my request will be considered positively. Regards, Adam Haidary Serenge.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

[wanabidii] English Pronunciation

Saturday, August 31, 2013 Add Comment
[wanabidii] English Pronunciation
I promised to be back if I find some important word that people are having a problem with. I found one by accident. I don't think it's a problem to most people but just in case one or 2 people there wanatatizwa, I want to clear it all up.

The word is TARGET.


I heard someone on KTN Prime News say T-A-J-E-T.  This is wrong.

The correct pronunciation is  T-A-A-G-E-T

Sorry for taking 1 minute of your time if pronouncing this word is not a problem to you.

Courage



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

[Mabadiliko] Kingunge Anaangalia Miaka 50 Nyuma, JK Anaangalia Miaka 50 Mbele !

Saturday, August 31, 2013 Add Comment
[Mabadiliko] Kingunge Anaangalia Miaka 50 Nyuma, JK Anaangalia Miaka 50 Mbele !


 Ndugu zangu,

Ndugu Kingunge Ngombale Mwiru ni mmoja wa wanasiasa ninaowaheshimu sana.  Nimemsikia Kingunge tangu nikiwa na miaka saba.

Lakini, kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Nyerere, hakuwa malaika, Kingunge naye ni mwanadamu kama wengine. Si malaika.

Nimeyasikia mawazo ya Kingunge juu ya Serikali Tatu na hata Uraia wa Nchi Mbili. Kwa mtazamo wangu, Kingunge hayuko sahihi kwenye yote mawili.

Na hapa nitalizungumzia hili moja tu la mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba juu ya muundo wa Muungano wa Serikali Tatu.

Kimsingi haya ni mapendekezo yenye kutokana na maoni Wananchi. Hivyo, Tume imewasilisha tu. Si mapendekezo ya Jaji Warioba au wajumbe wake.

Hii ni tofauti kubwa na mazoea ya ' Ukale' ya Mzee Kingunge ambayo hata sasa anataka yafuatwe; kuwa jambo kubwa la muundo wa Muungano liachiwe Chama Cha Mapinduzi na vikao vyake.

Ni jambo jema kwa mwanadamu kujifunza kutokana na historia, lakini, si jambo jema kwa mwanadamu kuwa mtumwa wa historia. Ni bahati mbaya, kuwa Mzee wetu mpendwa, Kingunge Ngombare Mwiru, anataka tubaki kwenye utumwa wa historia. Hatutaki.

Na hakika Mzee Kingunge anapaswa kuelewa, kuwa nchi hii ni zaidi ya Chama cha Siasa. Na chama cha siasa kilicho madarakani hakiongozi mawe. Na  hata kama kingekuwa kinaongoza tumbiri, bado kingekumbwa na changamoto ya uwepo wa tumbiri wenye kutaka mabadiliko, kulingana na mahitaji ya wakati.

Tukubali, kuwa yalifanyika makosa makubwa ya kiuongozi huko nyuma. Ni pale masuala makubwa ya kitaifa kuachwa maamuzi yake kufanywa na kundi dogo la watu kwa kutumia nyadhifa za uongozi wa chama. Kwenye masuala makubwa ya nchi Chama kiliamua juu ya vichwa vya watu bila kushirikisha mawazo ya wananchi wenyewe, iwe kwa kupitia kura za maoni au kukusanya tu maoni ya makundi wakilishi. Huo ni msingi wa manung'uniko mengi ya sasa.

Kwangu mimi, Jakaya Kikwete ni mwanamageuzi wa kweli ambaye, kama kiongozi, ameonyesha ujasiri mkubwa wa kuzipa mgongo fikra za ukale na kuiangalia zaidi nchi na mustakabali wake kwa miaka mingi ijayo. Anafanya hivyo bila kujali nani au chama gani kitakuwa madarakani.

Wakati Mzee Kingunge na wahafidhina ( wasiotaka mabadiliko) wengine ndani ya mfumo uliopo  wanatoka mahandakini huku wakihaha kujaribu kuurudisha nyuma mshale wa mabadiliko chanya kwa jamii , Jakaya Kikwete anaonekana, kuwa sio tu  amesimama imara katika kuhakikisha mshale wa saa ya mabadiliko chanya kwa nchi unakwenda mbele, bali, unakwenda mbele kwa kasi.

 Ni imani yetu, Wananchi walio wengi, kuwa Jakaya Kikwete hatakatishwa tamaa wala kuyumbishwa katika kukamilisha ajenda yake njema ya mabadiliko chanya kwa jamii ya Watanzania kuelekea miaka 50 ijayo.

Mzee Kingunge aelewe pia, kuwa wakati umebadilika. Kuwa ya mwaka 1974 alipojiunga na TANU ni tofauti na ya sasa, mwaka 2013. Huu ni wakati wa kiongozi kuonyesha uwezo wa kusoma alama za nyakati. Hivyo, kujitahidi kuendana na mabadiliko ya nyakati.

Hiyo pia ndio tafsiri ya kuwa ' Kiongozi wa Kisasa na Kimaendeleo'- A modern and progressive leader. Jakaya Kikwete kwa sasa yumo kwenye kundi hilo.

Na wenzake ndani ya CCM wakimsaidia katika kazi yake, basi, ni fursa pia kwa Chama chao kuiteka tena  mioyo ya Wananchi wengi, mijini na vijijini. Maana, kati ya ambayo yanawachosha wananchi ni kukosekana kwa mawazo ya usasa na ya kimaendeleo kutoka kwa miongoni mwa viongozi wa CCM. Ni moja ya sababu ya chama hicho kupungukiwa na mvuto hususan kwenye kundi kubwa la vijana.

Na hakika, hata kama hatuoni leo, historia itakuja kumkumbuka Jakaya Kikwete kama mmoja wa viongozi Wana-Mageuzi ndani ya Chama chake CCM, na nchi kwa ujumla.

Maggid,

Iringa.

0754 678 252

http://mjengwablog.com

 

 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

[wanabidii] Congo's army occupies rebel positions in breakthrough-20130831

Saturday, August 31, 2013 Add Comment
[wanabidii] Congo's army occupies rebel positions in breakthrough-20130831

 
 Phew ! A refreshing breather..........

Congratulation Congo Army jointly with UN team.......I am proud of you all

Cheers !!!

Judy Miriga
Diaspora Spokesperson
Executive Director
Confederation Council Foundation for Africa Inc.,
USA
http://socioeconomicforum50.blogspot.com

Congo's army occupies rebel positions in breakthrough-20130831

Pete Jones 5 hours ago

(Blank Headline Received)
.

View gallery

Congolese government soldiers take a break after patrolling in Kanyarucinya village in the outskirts

By Pete Jones

KIBATI, Democratic Republic of Congo (Reuters) - In their biggest success in a year, government troops in Congo occupied strategic hills overlooking the eastern town of Goma on Friday after rebel fighters withdrew.

The M23 rebels, who have fought an 18-month uprising in the eastern borderlands of the Democratic Republic of Congo, said they quit the Kibati hills to allow an independent investigation into shelling that has killed civilians in Goma and the lakeside town of Gisenyi in neighbouring Rwanda.

Rwanda has blamed Congo for the shelling and said it would not tolerate such "provocation", raising the risk that Congo's small but militarily powerful neighbour might openly intervene in a country where it has fought two wars in the last 20 years.

Regional diplomats said Rwandan forces were seen moving north from the capital. Local media published photos of troops in armoured personnel carriers and trucks headed for the border.

Millions of people have died from violence, disease and hunger since the 1990s as foreign-backed rebel groups have fought for control of eastern Congo's rich deposits of gold, diamonds and tin, destabilising Africa's Great Lakes region.

Congolese troops have been buoyed by the intervention of a new U.N. brigade fighting alongside them to drive back the M23 rebels. "We won!" they chanted in Kibati, until Thursday a rebel outpost on the frontline overlooking Goma. Two burned-out trucks were abandoned near the hilltop position.

"They did not leave by choice, they were confronted with the power of the army," Lieutenant Colonel Olivier Hamuli, a spokesman for Congo's armed forces, told reporters.

Rwanda has in the past justified intervening in Congo by saying it must hunt down Hutu extremists who took part in its 1994 genocide. But a complex web of local politics and regional conflicts over ethnicity, land and minerals are also at play.

Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo told Reuters: "If a diplomatic resolution means Rwanda standing by, arms crossed, waiting for its territory to be bombed and its people killed, then diplomacy is definitely off the table."

Although heavy fighting inside Congo has eased, there was sporadic firing on Friday. Congolese tanks fired on what they said were rebel positions in the bush. A Reuters journalist heard firing to the east, which Hamuli blamed on Rwanda's army.

CRITICAL POINT

Rwanda has been accused by U.N. experts of backing the rebels. Kigali denies the charge but world powers have stepped up pressure on Rwanda to stay out of Congo's conflict.

Hamuli said the rebels had retreated towards Kibumba, some 10 km (6 miles) north of Kibati. "We will go to Kibumba ... we are obliged to protect the population there," he said.

A regional diplomat, who is following the situation but asked not to be named, said the rebel force appeared to have remained largely intact despite the withdrawal.

"What happens next all depends on if the Congolese are prepared to go to the negotiating table and how hard Rwanda pushes at that point," the diplomat said.

"Anything could happen at this point, we are not relaxing yet. The next 24-48 hours will be critical."

The United Nations has thrown its weight behind Congo's government, saying its peacekeepers witnessed the M23 rebels firing shells into Rwanda.

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon, who spoke to Rwandan President Paul Kagame on Thursday, condemned what his spokesman called indiscriminate shelling by the M23 that caused deaths among the civilian population, and urged parties to pursue a political process.

The M23 rebels, named after a March 23, 2009, peace deal that ended four years of rebellion in eastern Congo, took up arms last year saying the government had failed to honour the agreement, which included integrating them into the army.

After seizing Goma in November, the rebels further demanded Congo's President Joseph Kabila hold national talks, release political prisoners and disband the electoral commission.

Speaking on French radio RFI, M23 leader Bertrand Bisimwa called on Congo to resume stalled, Ugandan-hosted negotiations to end the conflict.

Congo's government spokesman, Lambert Mende, rejected any resumption of peace talks, saying the M23 must first disarm, demobilise and become a political party.

A Tanzanian peacekeeper was killed on Wednesday, the first death since the new U.N. brigade engaged rebels last week.

South Africa's military said on Friday it had received a request from the United Nations for three of its Rooivalk (Red Kestrel) attack helicopters to be sent to Congo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

[wanabidii] WAKALA WA MBEGU ZA MITI WAJIVUNIA MAFANIKIO TANGU KUANZISHWA

Saturday, August 31, 2013 Add Comment
[wanabidii] WAKALA WA MBEGU ZA MITI WAJIVUNIA MAFANIKIO TANGU KUANZISHWA
Wakala wa Mbegu za Miti
(Tanzania Tree Seed Agency –TTSA)
UANZISHWAJI, MAFANIKIO NA CHANGAMOTO
 Ludovick Uronu
Kaimu Mtendaji Mkuu
Wakala wa Mbegu za Miti
Mada iliyotolewa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam, 29 Agosti 2013
  1. UTANGULIZI .  KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
1.1 HISTORIA YA UANZISHWAJI WA WAKALA WA MBEGU ZA MITI TANZANIA
1.1.1Hali ya misitu Tanzania
Eneo lote la misitu Tanzania ni Hekta 48 millioni (Ekari 119 millioni), kati ya hizo 96% ni msitu mataji wazi (woodland), 0.3% ni misitu ya mikoko (mangrove) na 3.4% ni misitu mingineyo.
 Katika eneo lote la misitu ni 33% tu ndiyo zipo katika hifadhi ya misitu kisheria.  Uharibifu wa misitu Tanzania unakadiriwa kuwa hekta 412,000 kwa mwaka. Uharibifu huu unatokana na ukataji wa miti kiholela ,uchomaji moto ovyo wa misitu, idadi ya mifugo inayozidi uwezo wa eneo ,Kilimo cha kuhamahama, maendeleo ya viwanda na ujenzi wa makazi .
Athari zinazotokana na upungufu wa misitu ni: kusababisha mmmomonyoko wa udongo, uchafuzi wa hewa na maji, kuongezeka kwa joto la dunia na upungufu wa mazao ya misitu. Ukarabati wa maeneo ya misitu yaliypharibika unakisiwa kuhitaji takribani miche ya miti milioni 440 kwa mwaka sawa na wastani wa tani 40 ya mbegu za miti kwa mwaka
1.1.2  Historia fupi ya uzalishaji wa mbegu za miti Tanzania
v  Uzalishaji ulianza wakati wa utawala wa Mjerumani chini ya Taasisi ya Kibaiyolojia na Kilimo iliyokuwa imeanzishwa na Wajerumani mwaka 1902 huko Amani Mkoa wa Tanga
v  Mbegu za wakati huo zilikuwa ni aina ya Misindano (Pinus spp.), Misanduku (Cupressus spp.) na Mikaratusi (Eucalyptus spp.)
Mwaka 1951 serikali ilianzisha kituo cha Utafiti wa Misitu (Silviculture v  Research Station) huko Lushoto, mkoa wa Tanga mwaka 1951.
v  Kituo hicho kilikuwa na kitengo cha mbegu za miti kilianzishwa kwa madhumuni ya kuzalisha na kusambaza mbegu za miti kwa ajili ya utafiti na mashamba ya miti ya serikali.
v  Miaka ya 1970 serikali ya Tanzania ilianzisha mpango wa kitaifa wa kupanda miti ili kuboresha mazingira ambayo yalikuwa yameharibika pamoja na mahitaji mengine
Kituo cha Utafiti wa Misitu Lushoto, hakikuweza tena kumudu mahitaji hayo kwa sababu ya kijiografia (kiko pembezoni mwa nchi, mbali na v  wateja wa mbegu) pia hakikuwa na vitendea kazi vya kutosha.
v   Serikali ya Tanzania ilitambua changamoto hiyo na ndipo ilibuni Mradi wa Taifa wa Mbegu za Miti (National Tree Seed Programme – NTSP), chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 1989 wenye makao makuu mjini Morogoro.
v  NTSP ilikuwa na majukumu ya kuzalisha na kusambaza mbegu bora za miti ili kukidhi mahitaji ya humu nchini na kuuza ziada nchi za nje
Kufuatana na programu ya serikali ya kuboresha utumishi wa umma (Public Service reforms programme), NTSP ilibadilishwa kuwa Wakala v  wa Mbegu za Miti (Tanzania Tree Seed Agency – TTSA).
  1. WAKALA WA MBEGU ZA MITI
TTSA yenye makao makuu yake mjini Morogoro, ni Wakala wa Serikali unaofanya shughuli zake chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. TTSA ilizinduliwa tarehe 24 Januari 2003 chini ya sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 ya mwaka 1997. Madhumuni ya TTSA ni ''Kuwezesha upatikanaji endelevu wa mazao ya misitu na utunzaji wa mazingira nchini kwa kuzalisha na kusambaza mbegu bora za miti pamoja na vipandikizi vingine".
2.1Vyanzo vya mapato vya TTSA
2.1.1 Mbegu za miti

Chanzo kikubwa cha mapato ya TTSA ni kuuza mbegu bora za miti.TTSA inakusanya na kuuza mbegu bora za miti ndani na nje ya nchi. Wastani wa tani 12.5 ukusanywa na kuuzwa kila mwaka ndani na nje ya nchi. Nje ya nchi TTSA inauza mbegu za miti katika nchi za Msumbiji, Afrika Kusini, India, Vietnam, Guatemala, Rwanda, Uganda, Australia, Botswana, Singapore , Ufaransa, Marekani, Madagascar, Siera leone, Denmark, Costa Rica na Malawi.
Aina za mbegu za miti zilnazouzwa ni 195 na kati ya hizo, aina za miti ya kienyeji ni asilimia 60 iliyosalia ni mbegu za miti ya kigeni.  Mbegu zinazoongoza kwa kupendwa katika soko ni Mkangazi (Khaya anthotheca), Mtiki (Tectona grandis), Mwerezi (Cedrela odorata), Mkenge (Albizia lebbeck), na Mkongo (Afzelia quanzensis), Msindano (Pinus patula), Mtikivuli (Acrocarpus fraxinifolius).
2,1.2 Miche ya miti
Chanzo kikubwa cha mapato ya TTSA ni kuuza mbegu bora za miti.TTSA inakusanya na kuuza mbegu bora za miti ndani na nje ya nchi. Wastani wa tani 12.5 ukusanywa na kuuzwa kila mwaka ndani na nje ya nchi. Nje ya nchi TTSA inauza mbegu za miti katika nchi za Msumbiji, Afrika Kusini, India, Vietnam, Guatemala, Rwanda, Uganda, Australia, Botswana, Singapore , Ufaransa, Marekani, Madagascar, Siera leone, Denmark, Costa Rica na Malawi.
Aina za mbegu za miti zilnazouzwa ni 195 na kati ya hizo, aina za miti ya kienyeji ni asilimia 60 iliyosalia ni mbegu za miti ya kigeni.  Mbegu zinazoongoza kwa kupendwa katika soko ni Mkangazi (Khaya anthotheca), Mtiki (Tectona grandis), Mwerezi (Cedrela odorata), Mkenge (Albizia lebbeck), na Mkongo (Afzelia quanzensis), Msindano (Pinus patula), Mtikivuli (Acrocarpus fraxinifolius).
2,1.2 Miche ya miti
TTSA inazalisha na kuuza miche ya miti kwa ajili ya matumizi mbalimbakama mbao, nguzo, mkaa, kuni, madawa, mapambo, kilimo mseto, kivuli na hifadhi ya maji. Pia TTSA inazalisha miche bora ya miembe na michungwa ambayo inazaa matunda kati ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupandwa. Aina ya miembe inayozalishwa ni Tommy Atkin, Kent, Keitt, Red Indian, Dodo, Sensation, Alphonso, Apple na Julie. Aina za michungwa ni Valencia, Parson brown, Matombo sweet, Jaffa na Orlando.
 2.1.3 Kumbi za mikutano
Wakala unazo kumbi tatu za mikutano ambazo zinakodishwa, taasisi za serikali ndio wateja wakubwa kutokana na kumbi hizo kuwa katika mazingira mazuri na ya utulivu na uwepo wa "standby generator".
2.1.4 Mafunzo ya muda mfupi
Wakala unaendesha mafunzo ya muda mfupi ya uanzishaji na uendelezaji wa bustani ya miche ya miti mara mbili kila mwaka,  Aprili na Oktoba.
2.1.5 Ushauri wa kitaalamu (Consultancy)
Wakala unatoa ushauri wa kitaalamu katika Nyanja mbalimbali za misitu,  kama utambuzi wa mimea, kuboresha mazingira (Landscaping) na kukarabati maeneo ya misitu yaliyoharibiwa (Forest rehabilitation).
3. MAFANIKIO NA CHANGAMOTO
3.1     Mafanikio
3.1.1 Kiasi cha mbegu na miche iliyosambazwa humu nchini
Mwaka
Kiasi cha mbegu (kg)
Idadi ya miche
2003
7,250
9,750
2004
8,300
10,150
2005
11,252
12,852
2006
9,587
32,215
2007
10,165
41,698
2008
9,637
179,670
2009
10,136
194,619
2010
12,300
61,780
2011
12.400
64.200
2012
3,954
47,016
2013
20,245
38,772
Jumla
102,838
628,586

Kiasi cha mbegu na miche iliyosambazwa na TTSA katika kipindi cha miaka 10 (2003 – 2013) kinaweza kwa wastani kutosha kupanda Ha 643,131 (Ekari 1,588,534) za misitu. Kwahiyo ufanisi wa TTSA hauwezi kupimwa kwa mapato pekee bali kwa kiasi inachochangia katika kuboresha mazingira nchini. TTSA ni moja kati ya Wakala za serikali ambazo zinatoa huduma na kufanya biashara.
3.2.1        Mapato na "Sustainability" katika kipindi cha miaka kumi (2003 – 2013)

Mwaka
Mapato ya TTSA
Mchango wa Serikali (PE + OC)
Jumla
TTSA Sustainability
2003/2004
131,621,570
322,245,913
453,867,483
29%
2004/2005
182,280,991
405,722,206
588,003,197
31%
2005/2006
245,896,401
328,858,095
574,748,496
43%
2006/2007
359,422,408
315,359,104
674,781,512
53%
2007/2008
327,906,170
320,210,671
648,116,841
51%
2008/2009
337,067,686
453,664,265
790,731,951
43%
2009/2010
426,169,954
453,203,302
879,373,256
48%
2010/2011
338,574,949
589,186,785
927,761,734
36%
2011/2012
186,736,420
579,419,000
766,155,420
24%
2012/2013
472,144,267
499,676,110
971,820,377
49%

3.1.3  Vyanzo vya mbegu bora
TTSA ina vyanzo 385 vya mbegu. Vyanzo hivyo vipo maeneo mbalimbali ikiwemo katika hifadhi za misitu. TTSA imeendelea kuboresha vyanzo vya mbegu pamoja na kuanzisha vyanzo vipya vya mbegu kutokana na mbegu zilizoboresha ili kuendelea kupata mbegu bora zaidi.
Baadhi ya vyanzo vya mbegu vilivyoboreshwa ni:Mtiki (Tectona grandis),Msindano (Pinus patula), Mkaratusi (Eucalyptus grandis),Mkaratusi (Eucalyptus tereticornis), Mkorimbia (Corymbia citriodora,)Mgrevilea (Grevillea robusta),Mvule (Milicia excelsa), Mninga (Pterocarpus angolensis),Mwarobaini (Azadirachta indica), Mtiki mweupe (Gmelina arborea,)na  Mgliricidia (Gliricidia sepium).

  3.1.4    Mafunzo mafupi ya Uanzishaji na Uendelezaji wa Bustani ya vitalu vya miti
Katika kipindi cha miaka 10 TTSA imetoa mafunzo mafupi ya uanzishaji na uenelezaji wa bustani za vitalu vya miti kwa washiriki 400 katika mikoa ya Arusha, Dodoma, Dar es Salaam, Iringa, Morogoro, Kilimanjaro, Mtwara, Pwani, Mara, Mwanza, Tanga, Kigoma, Tabora, Singida, Shinyanga, Pemba na Unguja.

3.1.5 Ushauri wa kitaalamu (Consultancy)
TTSA imetoa ushauri wa kitaalamu wa tambuzi wa mimie ya aslili na ushauri wa mimea ya kuboresha mazingira (Rehabilitation) katika makampuni manne ya migodi ya dhahabu ya Geita Gold Mine, Tulaweaka Gold Mine, Resolute Tanzania na North Mara Gold Mine pia Kiwanda cha Cement Tanga. Pia imetoa ushauri wa uanzishaji na uendelezaji wa bustani za vitalu vya miche kwa wadau mbalimbali wa miradi ya upandaji miti.

3.1.5  Ajira
TTSA imefanikiwa kuajiri jumla ya watumishi 30 wapya wa kada mbalimbali mara mbili baada ya kupata kibali cha ajira.
3.1.7    Wafanyakazi waliojiendeleza kielimu
Tangu 2003 hadi 2013 TTSA ilipoanzishwa baadhi ya wafanyakazi wamejiendeleza kielimu na wakahitimu katika ngazi mbalimbali kama ifuatavyo:
·         PhD (Biology) ----------------------------------  1
·         MSc. (Forestry) -------------------------------                1
·         MSc. (Seed Conservation) -----------------            1
·         BSc. (Forestry) --------------------------------                 2
·         BA (Human Resource) ---------------------- 1
·         Adv. Diploma (IT) -----------------------------  1
·         Diploma (Secretarial Studies) -------------            1
·         Certificate (Forestry) ------------------------- 6

3.1.8 Wafanyakazi walioko masomoni ni kama ifuatavyo:
·         MBA (Human Resource) ------------------- 1
·         MAB (Corporate Management)--------------     1
·         BSc. (Forestry) --------------------------------                 2
·         Bachelor Degree (Accoutancy)-------------       1
·         BSc. (Lab. Science) --------------------------  1
·         Diploma (Forestry-------------------------------            1

3.1.7    Wadau wanaofaidika moja kwa moja na huduma za TTSA:
*      Miradi ya serikali inayojihusisha na upandaji miti
*      Mashirika ya siyo ya kiserikali yanayojihusisha na upandaji miti
*      Halmashauri za Wilaya,
*      Mashamba ya miti ya wawekezaji 
*      Watu binafsi wenye bustani za miche,
*      Wanavijiji na wakulima.
 3.1.9 Ushirikiswaji wa umma
v  Karibu ya 1/3 ya mashamba ya mbegu ya TTSA yapo katika ardhi inayomilikiwa na wananchi.
v  Mbegu zinazokusanywa hatimaye husambazwa kwa wananchi kupitia wakala za serikali na mashirika yasiyo ya kuserikali ambao ni wateja wa TTSA.
v  Wananchi wanashirikishwa katika ukusanyaji wa baadhi ya mbegu za miti chini ya usimamizi wa wataalamu wa TTSA na hulipwa kwa kazi hiyo. Hivyo hupata pesa na kuboresha maisha yao.
3.1    CHANGAMOTO NA UFUMBUZI WAKE
3.2.1  Upungufu wa Wafanyakazi
  • TTSA inawafanyakazi 53 tu ukilinganisha na 128 ambao ndio wanaotakiwa.
  • Kila mwaka TTSA inaajiri watumishi wapya baada ya kupata kibali kutoka serikalini.
  • Ni matumaini yetu kuwa miaka michache ijayo wakala utakuwa na watumishi wa kutosha.
    • TTSA inatarajia kushirikiana na watu wenye maduka ya pembejeo za kilimo kusambaza mbegu kwa kutumia vifuko vidogo.

    3.2.2 TTSA ni ndogo
    v  TTSAS ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa wa nchi yetu.
    v  Tunayo mpango wa kuanzisha kituo cha nne cha Kanda ya Ziwa huko katika jiji la Mwanza kwa ajili ya kuhudumia mikoa mitano inayozunguka ziwaVictoria. 
    v  TTSA inafanya mchakato wa kuchagua watu binafsi wa kusambaza mbegu za miti katika mikoa sita.
     v  TTSA inatarajia kuwatumia watu hao kusambaza mbegu kwa kutumia vifuko vidogo.
    v  TTSA inashirikiana na Chuo Kikuu cha Copenhagen katika mpango huu wakutumia vifuko vidogo.

    3.2.3 Uwezo mdogo wa wateja
    v  Wateja walio wengi wana uwezo mdogo kifedha hivyo wanalalamika kuwa bei za mbegu ni kubwa.
    v  TTSA inajitahidi kutoongeza bei za mbegu.
    v  Kuuza mbegu katika mifuko midogo kutapunguza tatizo hili kwa kiasi.


    3.2.4 Kutojulikana sawasawa
    v  Watu wengi bado hawajui kuwepo kwa TTSA.
    v  Mkakati wa TTSA ni kujitangaza katika vyombo vya habari (magazeti, radio, vipeperushi, TV, mabango n.k)
    v  Pia tunatembelea wateja wetu mara kwa mara na kushiriki katika maonyesho ya kimataifa sabasaba na kitaifa nanenane.
     
    3.2.4 Mchango mdogo kutoka serikalini
    • Kila mwaka TTSA inapoandaa bajeti hushauriwa na serikali iipunguze.
    • Kuna miaka ambapo pesa zilizoidhinishwa hazitolewi zote.
    • Hili ni eneo mojawapo ambalo tunahitaji wahisani.

    4.       MAJUMUHISHO
    • TTSA inajivunia kuwa na mazingira mazuri ya kufanyia kazi. Pia serikali huwa inateua Bodi ya Ushauri (Ministerial Advisory Board-MAB) yenye Mwenyekiti na wajumbe wenye busara ambao wanateuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii. TTSA pia ina wafanyakazi mahiri wenye taaluma zinazotakiwa, wanaojituma na kuwajibika.
      •  
      • Hii ndiyo maana TTSA ni mojawapo ya taasisi bora za mbegu za miti katika Afrika.  

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.